Audio: Timbulo akiongelea wimbo wake mpya ‘Sina Makosa’

Baada ya kupata skendo ya kuhusishwa kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Burundi, Timbulo ameamua kuachia wimbo uitwao Sina Makosa.

Timbulo

“Nimefanya Sina Makosa kutokana na historia kubwa ya siku za nyuma watu wengi wamekuwa wakiamini kwamba pengine Timbulo nadili na madawa ya kulevya,story zimezagaa mtaani kwamba Timbulo anadili madawa ya kulevya lakini is not true sina makosa, usini judge sinamakosa sifanyi hiyo biashara that is why nipo mtaani ,sikukamatwa nipo mtaani niko maendelea na maisha yangu naganga njaa kama siku zangu za maisha yangu zilizizo nitangulia, ndivyo nilivyo naendelea kuwa hivyo, Sina makosa.

Msikilize hapa.