D’wikend chatshow ya Clouds TV kuzinduliwa Ijumaa hii Maisha Club

D’wikend chatshow inayorushwa na kituo cha Clouds TV itazinduliwa rasmi Ijumaa hii kwenye ukumbi wa New Maisha Club.

255718619433-2013-03-27

“Ijumaa hii, 29th March, D’wikend chatshow Masquerade Party @New Maisha Club uzinduzi rasmi wa D’Wikend chatshow kwa mwaka huu. Bonge moja la party tunainvite ma fans wooote, kuanzia saa 3:00 usiku/kiingilio:10,000 Tshs…plus mask ya bure..C ya’ll pande hizo,” yameandika maelezo yaliyoifikia Bongo5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents