Burudani
Nicki Minaj kutumbuiza Afrika Kusini mwezi March
Nicki Minaj anatarajia kutumbuiza nchini Afrika Kusini March mwaka huu.
It's OFFICIAL @NICKIMINAJ is coming to SA in March! Tix available tomorrow 9am 😀 pic.twitter.com/fpd9o8KEAR
— 5FM (@5FM) January 27, 2016
Atatumbuiza March 17, Joburg, March 20, Durban na March 22 Cape Town. Mwaka 2014 rapper huyo wa YMCMB alikuwa atumbuize nchini humo kwenye show ya Tribe One Festival iliyoahirishwa.