Burudani

Nitaachia albamu yangu mpya mwishoni wa mwaka huu – Kleyah

Mwaka 2015 ulikuwa ni wa neema kwa wasanii wengi wanaochipukia.

bg1

‘Msobe Msobe’ aliyofanya na Barnaba ndiyo iliyomtambulisha Kleyah vizuri kwenye muziki na sasa wimbo wake wa ‘African Drum’ unafanya vizuri kwenye redio na TV mbalimbali.

Akiongea na Bongo5, Kleyah amesema, “Nimepanga kuachia albumu yangu ya kwanza mwishoni mwa mwaka huu. Tayari baadhi ya nyimbo za kwenye albamu hiyo zimeshakamilika na itakuwa na nyimbo kama kumi hivi,” alisema Kleyah.

Kleyah ni miongoni mwa wasanii wengi waliovutiwa na Lady Jaydee kuingia kwenye muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents