Promotion

NMB yafadhili mkutano wa wawekezaji wa kubangua korosho

IMG_0022
Mkuu wa kitengo cha huduma za Kilimo NMB , Robert Pascal akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kutangaza udhamini wa benki ya NMB wa dola elfu tano ($ 5000.00) kwa ajili ya kuadhimisha mkutano wa wawekezaji wa kubangua Korosho utakaofanyika mwezi wa Novemba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti na Mifumo ya Teknolojia kutoka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) John Kyaruzi

IMG_0025
Mkuu wa kitengo cha huduma za Kilimo NMB, Robert Paschal akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kutangaza udhamini wa benki ya NMB. Benki ya NMB imetoa dola elfu tano ($ 5000/=) ili kuadhimisha mkutano wa wawekezaji wa kubangua Korosho utakaofanyika wiki ijayo jijini Dar es salaam kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu Bodi ya korosho, Mfaume Juma anayefuatia ni Mkurugenzi mkuu wa kituo cha uwekezaji, John Kyaruzi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents