Habari

NMB YATOA MSAADA WA MADAWATI ZANZIBAR

Benki ya NMB imeendelea kuwa karibu zaidi na jamii inayoizunguka kwa kusaidia kutatua matatizo mbalimbali yanayoikabili jamii hususani katika sekta ya elimu. Kama ilivyo ada kwa benki ya NMB hutoa sehemu ya faida yake ili kuisaidia jamii. Benki ya NMB imetoa msaada wa madawati yenye thamani ya shilingi milioni 10/- kwa ajili ya shule ya msingi Mangapwani na Bumbwini mjini Zanzibar.

Meneja Masoko wa Benki ya NMB, Shilla Senkoro akimkabidhi sehemu ya msaada wa madawati 100 yenye thamani ya shilingi milioni 10/- mke wa makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Mama Asha Balozi madawati yaliyotolewa na benki ya NMB.

Wanafunzi wa shule ya msingi Bumbwini na Mangapwani wakiwa wamekaa kwenye madawati  waliyoyapokea kutoka Benki ya NMB kama msaada ili kupunguza uhaba wa madawati unaozikabili shule nyingi nchini Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents