Burudani

Ostaz Juma amtolea uvivu Dokta Mwaka kisa kulala na wake zake wawili kitanda kimoja (Video)

 

Meneja mkongwe wa wasanii ambaye kwa sasa amegeukia elimu ya dini ya uislamu, Ostaz Juma na Musoma amefunguka kuzizungumzia picha za mfanyabiashara na mganga wa tiba za asili, Dokta Mwaka ambaye picha zake zimesambaa mitandaoni akiwa amelala na wake zake wawili wakiwa wamelala kitandani kuzua gumzo. Hatika hatua nyingine Ostaz amedai ndoa nyingi za mastaa wengi zinavunjika kwa sababu wasanii wengi wanaingia kwenye maisha hayo kwaajili ya kutafuta kiki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents