Burudani

P Funk afunguka ugumu wakuwaweka pamoja tena Nature, Chege na Temba kupitia TNC (Video)

Mtayarishaji wa muziki na mfanyabiashara @majani187 amezungumza na Bongo5 kuhusu ujio wa TNC ambayo inayowaonganisha @mhtemba , @sir_nature na @chegechigunda katika ujio mpya baada ya kufanya vyema miaka ya nyuma na TMK.

P amesema tayari wasanii hao wameshaandaa albamu yenye nyimbo 12 na kila moja ina video.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents