Burudani

P-Square kuachia single mpya leo ‘Taste The Money’ (Testimony)

Baada ya kufanya ziara za kutosha ndani na nje ya Afrika mwaka jana, Kundi la mapacha wa P-Square kutoka Nigeria linatarajia kuachia single yao mpya kwa mwaka 2014 ‘Taste The Money’ (Testimony).

P-sqaure new single

Peter wa P-Square ameshare habari hiyo njema kwa mashabiki wa kundi hilo kupitia Instagram kwa kupost cover ya single hiyo, ‘New single out tomorrow. About to hit y’all again’, ameandika Peter

Single mpya ya P-Square ‘Taste The Money’ inafuata baada ya hit single yao ya mwaka jana ‘Personally’ iliyofanya vizuri katika chart mbalimbali za muziki barani Afrika huku ikipewa support na video kali. Kama wewe ni shabiki wa Peter na Paul Okoye tegemea kupokea zawadi hiyo leo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents