Burudani
Picha 12 za Karrueche Tran anavyopagawishwa na penzi la Victor Cruz
Aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown, Karrueche Tran ameonekana kuwa na furaha kwenye mahusiano yake na Victor Cruz, 31, ambaye ni mchezaji wa American football.
Wawili hao wameonekana jana mjini Miami wakiwa na furaha huku wakiogelea pamoja kwenye swimming pool huku wakisindikizana kwa mabusu moto moto.
Karrueche na Cruz walianza mahusiano yao tangu mwezi Oktoba mwaka jana baada ya Tran kuachana na Quavo wa kundi la Migos.