Burudani

Picha: AKA amtumia ex wake DJ Zinhle maua rose 50!

Rapper wa Afrika Kusini, AKA ameonesha kuwa ni mtu mzima baada ya kumtumia ex wake na mama wa mwanae wa kike, maua rose 50.

zinhle

Pamoja na DJ Zinhle kukanusha kurudiana na AKA, msichana huyo mwenye miaka 32 amedai kuwa wana maelewano mazuri na mzazi mwenzake.

Zinhle alitumia Instagram kuonesha zawadi hiyo kwa kuandika: 50 roses. Thank you @akaworldwide #nowearenotenemies #weareparents #wegrown #familycomesfirst #nowenottogether #chill #BaddestTeam.

1922291_1707168046187406_478702343_n
Maua aliyopewa Zinhle na AKA

Hiyo imekuja baada ya gazeti la udaku kudai kuwa mastaa hao wamerudiana baada ya AKA kumuacha Bonang Matheba ili kujaribu kusuluhisha tofauti zake na Zinhle.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents