Burudani

Picha: Linex afunga ndoa kimya kimya?

Msanii wa muziki, Linex Sunday Mjeda Jumatatu hii ameonesha picha katika mitandao ya kijamii zinazomuoenesha akiwa amefunga ndoa hali ambayo imewafanya mashabiki wake kumpongeza kwa hatua hiyo.

Linex
Linex katika mahaba

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, muimbaji huyo amepost picha za ndoa hiyo na kuandika, “Kuna maamuzi hayahitaji matangazo.”

Katika picha nyingine aliandika: Silence speaks volumes.”

Hizi ni picha zaidi:

10012612_442012356009705_1266128655_n

10655011_1545676069081373_249240983_n

12501918_146119269096480_453133358_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents