Picha: Aunt Ezekiel ni mama kijacho?
Picha ya Aunt Ezekiel kwenye Instagram imeibua mjadala huku mashabiki wake wakisema ni mjamzito.
Aunt Ezekiel akimlisha keki JB
Picha hiyo ya Aunt Ezekiel ilipigwa katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.
Hivi ndivyo baadhi ya mashabiki wake walivyoandika:
Ayshasunshin :Your pregnancy congratulations
Mrkhalfan1: haaa we una mimba na hilo bonge lenye miwani pia lina mimba.hapana chezea
Ney_mike:Jamani Dada, matusi yote ulokuwa unaporomosha juzi kumbe una kiumbe tumboni? Pls love usifanye hivyo tena mpenzi tunafundishwa kuwa watoto wanasikia kila kitu wakiwa tumboni na kukifunza. Hata wakikutukana don mind them mpenzi wangu wala usijibizane nao binadamu ndivyo tulivyo. Nakupenda Sana aunt Mungu akuzidishie maisha
Jweekendy_girl: Mbona km mama kijacho Aunty Ezekiel katoto ndo katazidi kuwa kazuri jamani tuletee tu aunty
Mamibeuty: Wow mum kijacho look gud my dia congrlnt
Florencia_sebakala: Kitumbo kimekupendeza
Khadijamohamedi: Hapana chezea mama kijacho,ulipendza xna