Diamond Platnumz
Picha: Diamond asherekehea birthday yake kwa style!
Tarehe 2 October ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Diamond Platnumz ambaye aliamua kufanya party kwenye hoteli ya D’ Mage.
Hitmaker huyo wa ‘Mawazo’ aliwaalika washkaji wake wa karibu na watu maarufu nchini akiwemo Wema Sepetu, Shetta, Ommy Dimpoz, B12, Naj, Mboni Masimba na wengine.
Hizi ni baadhi ya picha alizopiga na kuziweka kwenye website yake.