Habari

Picha: Happiness Watimanywa atwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2013

Miss Dodoma na a Miss Kanda ya Kati, Happiness Watimanywa jana ameibuka na taji la Redd’s Miss Tanzania 2013 kwenye fainali zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

DSC_6970
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania 2013,Happiness Watimanywa akipunga mkono baada ya kutangazwa mshindi. Wengine kutoka kushoto ni mshindi wa pili,Latifa Mohamed na kulia ni mshindi wa tatu,Clara Bayo

DSC_6973
Washiriki wote wa Miss Tanzania 2013 wakiwa nyuma ya Happiness kupiga picha ya pamoja

DSC_6975
Picha ya pamoja

DSC_6976
Happiness akiwa na furaha kama jina lake

DSC_6984
Fact: Happiness Watimanywa, aliwahi kuwa msichana pekee kutoka Tanzania aliyeweka historia ya kuongoza nchi zaidi ya 150 za mtandao wa IGCSE katika somo la Uhasibu kwenye mitihani ya kidato cha nne mwaka 2010(Full Shangwe)

DSC_6986
Happy ni mzaliwa wa familia ya kawaida ya Mr Louis Roussos ya Morogoro. Wadogo zake Angel na Romeo sasa wanasoma St. Constantine shule iliyomtoa Happy

DSC_6994
Happiness akikabidhiwa funguo za gari yake

DSC_6995
Happiness akiwa amesimama mbele ya gari alilozawadiwa kama mshindi wa Miss Tanzania 2013

DSC_6998
Happiness akiwa amepozi mbele ya camera za waandishi wa habari na akijiandaa kuingia ndani ya gari alilozawadia

DSC_7002
Happy ndani ya gari lake

DSC_7003
Inawake kweli: Happiness akiliwasha gari lake

DSC_7010
Happiness akiwa kwenye picha ya pamoja na familia yake

DSC_6947
Warembo walioingia kwenye top 5 ya Miss Tanzania

DSC_6948
Top 5

DSC_6951
Matokeo yakitangazwa

DSC_6959
Happiness akivishwa crown ya Miss Tanzania 2013

Faraja Kotta nae alikuwa mmoja wa majaji
Faraja Kotta(kushoto) alikuwa miongoni mwa majaji wa Miss Tanzania 2013

Happyness akiwa na Familia yake
Familia: Happiness Watimanywa amewahi kusoma Laureatte International School ya Dar-es-salaam, ambapo akiwa hapo, alikutana na mwalimu wa michezo Mr Tchalewa Ndeki ambaye alimfungulia mipaka mingi

Happyness Watimanywa akiwa na wazazi wake katika picha ya pamoja
Happiness Watimanywa akiwa na wazazi wake katika picha ya pamoja

Wazazi wa Miss Tanzania Happyness
Wazazi wa Miss Tanzania Happiness

Mshindi wa Miss Tanzania 2013 Happyness Watimanywa akiwa na Mama ake Mzazi
Happiness Watimanywa akiwa na Mama ake Mzazi

Hawa ndio walio fanikiwa kuingia Tano bora
Warembo waliofanikiwa kuingia tano bora

Hii ndo gari aliyo shinda Miss Tanzania
Hii ni gari aliyokabidhiwa Miss Tanzania 2013

Hii ndo ilikuwa Meza ya Majaji wa Miss Tanzania 2013
Meza ya Majaji wa Miss Tanzania 2013

Jacklin Ntuyabaliwe alikuwa mmoja wa majaji wa shindano la Miss Tanzania
Jacqueline Ntuyabaliwe alikuwa mmoja wa majaji wa shindano la Miss Tanzania 2013

Lady Jay alikuwepo kutoa show
Lady Jaydee akitoa burudani

Mc alikuwa Boby
Host wa Miss Tanzania 2013, Bobby akiwa kazini

Michael Rossi kutoka Unganda alifanya Show
Msanii wa Uganda, Michael Ross akitumbuiza

Warembo wakifungua show kwa burudani
Warembo wakifungua show kwa burudani

warembo wakitoa Show
Warembo wakitoa show

Warembo wakiwa katika Vazi la Ufukweni ambalo lilibuniwa na Veronika Rukenze
Warembo wakiwa katika Vazi la ufukweni lililobuniwa na Veronika Lugenzi

Warembo wakiwa katika Vazi la Usiku
Warembo wa Miss Tanzania wakiwa katika vazi la usiku

DSC_6829

DSC_6841

DSC_6842

DSC_6844

DSC_6845

DSC_6848

DSC_6850

DSC_6852

DSC_6854

DSC_6859

DSC_6860

DSC_6861

DSC_6862

DSC_6863

DSC_6864

DSC_6867

DSC_6868

DSC_6870

DSC_6871

DSC_6872

DSC_6873

DSC_6874

DSC_6876

DSC_6877

DSC_6880

DSC_6881

DSC_6885

DSC_6886

DSC_6887

DSC_6888

DSC_6890

DSC_6897

DSC_6899

DSC_6902

DSC_6903

DSC_6905

DSC_6906

DSC_6916

DSC_6922

DSC_6923

DSC_6924

DSC_6942

DSC_6943

DSC_6945

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents