Habari

Picha: Dillish avalia sare za polisi na kushiriki kufanya Patrol katika jiji la Windhoek, Namibia

Mshindi wa BBA 2013 Dillish Mathews kutoka Namibia anaendelea kuitumia vizuri ‘Crown’ yake ya ‘The Chase’ , ambapo jana alishiriki katika zoezi la ulinzi katika mitaa mbalimbali katika mji mkuu Windhoek.

dillsh
Dillish katikati

Jana Dillish aliungana na polisi wa jiji la Windhoek kwaajili ya kufanya patrol katika mitaa mbalimbali na kwa lengo la kukabiliana na wahalifu na kulinda amani.

Dillish alipost picha akiwa amevalia sare za polisi wa jiji zilizoandikwa ‘City Police’ na kuandika kuwa ataungana na askari wa jiji la Windhoek kwaajili ya patrol usiku wa jana.

‘I will be joining Windhoek city police for patrol and chase tonight! They will give me uniform too!! So u better stay out of trouble tonight!!!Lets all unite to fight crime it begins with you!!’.

dillish-patrol-2

Sipati picha mhalifu yeyote angekutana na mrembo Dillish (wote wakiwa kazini mhalifu na uhalifu, Dillish akiwa patrol) nahisi angejisalimisha mwenyewe, si unajua mtoto alivyomzuri na ukiongeza ni star!! LOL, Labda awe kibaka tu!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents