BurudaniDiamond PlatnumzPicha

Picha: Harmonize, Rich Mavoko, Lava Lava, Mbosso na Queen Darleen katika uzinduzi wa ‘A Boy From Tandale’

Usiku wa kuamkia leo msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz alifanya uzinduzi wa albamu yake mpya ‘A Boy From Tandale’ Nairobi nchini Kenya.

Katika uzinduzi huo Diamond alimwalika Omario kutoka nchini Marekani na waliweza kuimba pamoja ngoma ‘African Beauty’. Pia wasanii wa WCB kama Harmonize, Rich Mavoko, Lava Lava, Mbosso na Queen Darleen walikuwepo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents