Habari

Picha: Ibada ya kuaga mwili wa mke wa Waziri Mwakyembe, Bi Linah

Mwili wa aliyekuwa mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe Bi. Linah umefanyiwa ibada ya mwisho katika kanisa la KKT Kunduchi jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya kuusafirisha mwili huo kuelekea mkoani Mbeya kwaajili ya mazishi.

Ndugu jamaa pamoja na viongozi walipata fursa ya kutoa salamu za rambirambi kwa Waziri. Bi Linah alifariki wiki iliyopita baada ya kuugua ugonjwa wa saratani. Angalia picha.

PICHA NA EMMY MWAIPOPO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents