Michezo

Picha: Jesse Lingard wa Man United anunua gari la shilingi milioni 545.2

Mafanikio ya kimaisha ya mchezaji wa klabu ya Manchester United, Jesse Lingard mwenye miezi 18 tu ndani ya kikosi hicho, yameanza kuonekana. Licha ya uwanjani kuwa mmoja wafungaji wa magoli muhimu, nje ya uwanja mambo yanamuendea vizuri pia.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 tu, tayari sasa anamiliki gari la kifahari aina ya Bentley Continental GT lenye thamani ya paundi 200,000 (zaidi ya shilingi milioni 545.2 za kitanzania.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents