Burudani

Picha: Joh Makini ala shavu la Coke Studio Africa, ataperform na Chidinma wa Nigeria

Nyota ya mweusi, Joh Makini inazidi kung’aa baada ya kuwa mmoja wa wasanii waliochukuliwa kwenye msimu wa pili wa kipindi cha Coke Studio Africa kinachofanyika jijini Nairobi, Kenya. Joh Makini atapanda kurekodi session yake na muimbaji mrembo wa Nigeria, Chidinma.

10507826_263231760548617_886936890_n
Joh Makini na Chidinma

10499216_314101578744329_547664342_n
Joh Makini akishoot vipande vya show hiyo

10518094_700088863391120_2046789715_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents