Burudani
Picha: Mashabiki wawaita Davido na Ommy Dimpoz mapacha, Davido aipitisha
Ommy Dimpoz na Davido ni mapacha kwa mujibu wa mashabiki wao.
Muimbaji wa ‘Ndagushima’ alipost kwenye mtandao wa Instagram picha akiwa na hitmaker huyo wa ‘Skelewu’ walipokutana kwenye show ya Fiesta wiki iliyopita iliyowavutia wengine.
“Jaman mnafanana kwanini mstoe wimbo pamoja,” aliandika shabiki na mwingine kuongeza ‘Yaan mmefanana mbaya kka dmpoz na hyo mr skelew.”
Davido naye alipitisha kwa kuandika ‘My Twin Lol’.
Unahisi kweli mastaa hawa wanafanana? Na vipi wanafaa kupiga collabo?