Burudani

Picha: Mazishi ya Dogo Mfaume yalivyofanyika nyumbani kwao

Hatimaye msanii Dogo Mfaume aliyefariki Jumatano hii katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kutokana na uvimbe katika ubongo, amezikwa leo majira ya saa tisa kasoro nyumbani kwao Chanika kwa Mbiki.

Watu wengi wamehudhuria mazishi hayo akiwemo Juma Nature, Inspector Haroon na wengine wengi. Hizi ni baadhi ya picha za kutoka msibani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents