Burudani

Picha: Ray baada ya kudai siri ya weupe wake ni kunywa maji, Godzilla aanzisha kampeni

Baada ya Ray Kigosi kuweka wazi kuwa anakunywa sana maji ndio maana anakuwa mweupe, Godzilla pamoja na mashabiki mbalimbali katika mitandao ya kijamii wamenza kufanya zoezi hilo kwa kuwahamasisha watu kunywa maji ili na wao wapate upako huo.
kk

Rapa Godzilla kama njia ya kuwadhihaki watu pamoja na wasanii wenzake, amekuwa akipost picha mbalimbali katika mtandao ya instagram huku akiwashauri baadhi yao kunywa maji ya kutosha.

Linexx

Maji

Mpoki

Hivi karibuni Ray Kigosi kupitia kipindi cha Enewz cha East Africa Television alidai kuwa weupe wake una sababishwa na kunywa maji ya kutosha pamoja na kufanya mazoezi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents