Burudani

Picha: Rob Kardashian asherekea Uhuru wa Marekani kwa staili yake

Moja ya vijana kutoka familia ya Kardashian, Rob Kardashian amepost picha mbalimbali akisherekea siku ya Uhuru wa Marekani, akiwa na binti yake Dream.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, kijana huyo alitiririsha picha akiwa na mtoto wake mwenye miezi nane aliyezaa naye mrembo Blac Chyna. Siku ya Uhuru wa Marekani huazimishwa kila mwaka Julai 4.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents