BurudaniWema Sepetu

Picha: Wema Sepetu na Ommy Dimpoz kunani kwani?

Wema Sepetu na Ommy Dimpoz wanazidi kuumizwa vichwa watu.

10953376_1045282048819620_3651501053188108847_n
Couples mpya ama ndio zile za project ziendelee?

Yeah tunafahamu kuwa ushemeji hauna kikomo lakini hizi picha zinazoonekana ni kama zimevuka mpaka wa ushemeji. Maswali mengi kutoka kwa mashabiki wao ni kuwa ni kweli Ommy na Wema wameamua kuanzisha uhusiano licha ya ukweli kwamba Ommy ni rafiki wa karibu na Diamond Platnumz? Haijawahi kuwa kitu cha kawaida kwa rafiki kuwa na uhusiano na ex wa rafiki yake.

Hata hivyo Wema anaonekana kufurahia muungano huu kwakuwa ameshapost picha kadhaa akiwa hitmaker huyo wa ‘Tupogo’ kwenye akaunti yake ya Instagram zilizosababisha mrejesho wenye kishindo.

10986287_665180156942527_1832502599_n

Jumatatu hii muigizaji huyo wa filamu amepost picha ya Ommy Dimpoz (hiyo juu) kama sehemu ya ‘Man Crush Monday’ (yaani siku maalum ambayo wanawake hutumia kuwataja wanaume wanaowazimia).

“So it’s a Monday already….. Y nat post my MCM….. Haiya Nalala now,” ameandika Wema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents