Burudani
Audio: Sikiliza show ya burudani ya mtandaoni ‘Hits FM’
Mtangazaji wa Uhuru FM, Crispin George aka Mgenge ameamua kuja na kipindi chake cha redio kwaajili ya mtandao iitwayo Hits FM. Vipindi hivyo utakuwa ukiviskia kila Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Sikiliza kipindi hicho hapa.