Burudani

Picha za harusi ya member wa zamani wa Destiny’s Child, Kelly Rowland..Beyonce na Solonge ni miongoni mwa waliohudhuria

Member wa zamani wa kundi la Destiny’s Child Kelly Rowland alifunga ndoa na mpenzi wake ambaye pia ni meneja wake Tim Witherspoon huko Costa Rica weekend iliyopita.

kelly wedding-1

Mama Blue Ivy Beyonce na dada yake Solange Knowles ni miongoni mwa wageni wachache waliohudhuria harusi hiyo.

kelly wedding-2

kelly wedding-3

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents