Picha

Picha za uzinduzi wa album ya Kala Jeremiah “Pasaka”

Baada ya kuachia albam yake iitwayo Pasaka, msanii wa Hip Hop, Kala Jeremiah jana ameizindua rasmi katika ukumbi wa New Maisha Club na kusindikizwa na wasanii mbalimbali.

Hizi ni miongoni mwa picha za uzinduzi huo.

Ben pol
Ben pol
Roma
Roma
Nash Emcee
Nash Emcee
Kala na Jokate wakiimba kwa pamoja
Kala na Jokate wakiimba kwa pamoja
Dullayo
Dullayo

Darasa
Darasa
Kala Jeremiah
Kala Jeremiah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents