Habari

Picha: Ziara ya Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma nchini leo

Rais wa Afrika kusini, Jabob Zuma yupo nchini katika ziara ya kiserikali ya kitaifa na kimataifa ambaye yupo nchini Tanzania kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais John Magufuli.

Hizi ni baadhi ya picha za ukaribisho wa Rais Zuma akiwa na mwenyeji wake Rais Magufuli:

 

By Peter Akaro

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents