BurudaniPicha

Picha/Video: Beyonce asherehekea birthday yake kwa ‘swagga’ za miaka ya 70!

Alicia Keys, Usher, na Jay Z walivaa nguo za miaka ya 70! Kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Beyonce aliyetimiza umri wa miaka 35.

14134513_1001303456666120_1198648732_n
Beyonce akiwa na ChancE The Rapper

Sherehe hiyo ilikuwa na mfanano wa Soul Train na kufanyika Jumatatu jioni.

14240840_179179965848270_1594589742_n
Jay Z na Usher

Beyonce alitimiza umri wa miaka 35, Jumapili ya September 4. Akitoka kunyakua tuzo takriban 8 na kuvunja rekodi kwenye tuzo za MTV VMA, Beyoncé pia alichagua kusherehekea siku yake hiyo muhimu kwenye tamasha la mume wake la kila mwaka la Made in America huko Philadelphia.

https://www.youtube.com/watch?v=Q1t1-8QC7LI

Beyoncé alisafiriki hadi Camp David akiwa na mama yake, Tina Lawson, binti yake, Blue Ivy pamoja na Michelle, Malia, na Sasha Obama. Na baada ya kupongezwa na mastaa wenzake wakiwemo, Kim Kardashian, Mariah Carey, na Nicki Minaj, Beyoncé alielekea Philadelphia kujumuika kwenye tamasha hilo.

14134622_1780935152184382_1857461210_n
Diddy na mpenzi wake Cassie

Kwa mujibu wa CNN, Bey alikutana pia na rais wa zamani, Bill Clinton.

https://www.youtube.com/watch?v=3lHZIukox1A

14269098_207660706315440_239257777_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents