Burudani

Quick Rocka athibitisha kuwa na uhusiano na Kajala baada ya kukanusha kwa muda mrefu

Msanii wa Bongo fleva, Quick Rocka na muigizaji wa Bongo movie, Kajala Masanja hawakuwahi kuthibitisha wenyewe hadharani kuwa wana uhusiano wa kimapenzi licha ya kuwepo na tetesi kuwa ni wapenzi.

Kajala na Quick

Quick amejikuta akilazimika kukiri hadharani juu ya uhusiano wao alipokuwa akikanusha taarifa kuwa wameachana.

Akizungumzia sababu za kuamua kutoyaweka wazi maisha ya uhusiano wao, Quick amesema;

“Sometimes some things have to stay private maana mahusiano yanapokuwa public sana ndio maneno yanakuwa mengi so sometimes vitu ni better kuwa private kidogo ili kuwe na usisi ndani yake yeah we doing good…Maneno ya mtaani ni mengi ukweli wa ndani tunaujua wenyewe.” Alisema Quick Rocka kupitia Amplifaya ya Clouds Fm.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents