BurudaniVideos

Rafiki wa Ashura aliyedaiwa kumficha diwani afunguka “Ashura ana mume na watoto” (Video)

Baada ya taarifa za Jeshi la Polisi siku ya jana ya kwamba Diwani wa Kawe ambaye alikuwa anatafutwa na kupatikana kwa Ashura, Bongo5 imefanya juhudi za kumtafuta Ashura bila mafanikio kwani kila akipigiwa simu anadai hawezi ongea kwa sasa.

Tuliweza kumpata rafiki wa karibu wa Ashura, Rungi Mauranga ambaye amedai kusikitishwa na yanayoendelea mtandaoni.

Amedai sio kweli kwamba Diwani alifichwa kwa rafiki yake bali siku ya tukio Diwani huyo wa Kawe alipita kwa rafiki yake huyo kumsalimia kumbe alikuwa anatafutwa.

Rungi amedai rafiki yake Ashura ana mume na watoto hivyo yanayoendelea mtandaoni yanaweza kumuharibia.

Related Articles

Back to top button