Habari

Rais Magufuli awataka wananchi Tanga kujipanga kunufaika na fursa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewataka wananchi wa Tanga kujipanga kunufaika na fursa mablimbali za ajira ya biashara
kufuatia mradi mkubwa wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga.

Soma taarifa kamili:


Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents