Rais Samia Suluhu akutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang wa kwanza kulia kutoka kwa Mhe. Rais, ambaye aliambatana na Viongozi wenzake Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 21 Aprili, 2021.

Related Articles

Back to top button