Habari
Rapa Albino Fulani kupewa heshima ya mwisho Jumamosi hii USA
Rapa na mwanaharakati Albino Fulani ambaye amefariki dunia wiki hii nchini Marekani anatarajia kufanyiwa misa na kupewa heshima ya mwisho.
Kwa mujibu wa rapa Rapa Wakazi amesema yeye ndio anaelekea nyumbani kwa marehemu kwaajili ya kujua taratibu nyingine ambazo zinaandaliwa kwaajili ya kumpumzisha msanii hiyo.
Alisema misa na kutoa heshima ya mwisho itafanyika nyumbani kwa marehemu.