Burudani

Rapper Nelly kutoa album ya muziki wa country

Rapper Nelly anatarajia kutoa album ya muziki wa country.

179363501_nelly_640 (1)

Kwenye mahojiano na Billboard, meneja wa Nelly, J. Erving alisema kuwa Nelly hayupo tena kwenye label ya Universal na anajiandaa na album ya country iitwayo Heartland.

Meneja huyo alisema kuwa Nelly anaweza kuwa rapper wa kwanza wa Marekani kufanya hivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents