Burudani

Justin Bieber kuubeba mkanda wa Mayweather atakapoingia ulingoni Jumamosi hii

Justin Bieber ni shabiki namba moja wa Floyd Mayweather ndio maana ataubeba mkanda wa bondia huyo wakati atakapoingia ulingoni Jumamosi hii.

Bieber-Mayweather-main

Mayweather atapanda ulingoni siku hiyo kuzipiga na Manny Pacquiao.

Kwa mujibu wa The Sun, Bieber ataongoza msafara wa Mayweather wakati utakapopanda kwenye ulingo wa MGM Grand.

Chanzo kimoja kimeliambia gazeti hio: As long as his daughter wants Justin there he’ll be his main man. They get on really well.”

Mayweather anashikilia mikanda mingi ikiwemo ya WBC, WBA.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents