Burudani

Rapper Wiista kuachia EP na album yake mwakani

Rapper Wiista ambaye zamani alikuwa msanii wa kundi la Navy Kenzo, amejipanga kuja na nguvu mpya mwakani.

Wiista

“Wiista yupo studio akimalizia kurekodi EP yake atakayoiachia 2015 itakayofuatiwa na album mwishoni mwa mwaka,” imesema taarifa kutoka kwenye management yake, NGOMA Entertainment.

“Baada ya ukimya wa muda mrefu anarudi kwa kishindo na NAIYE na EP (Extendend Play), video itatoka katikati ya January.”

Mwaka huu, Wiista aliachia single yake mpya iitwayo ‘Naiye’. Unaweza kuusikiliza hapo chini.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents