Habari

RC Dodoma Mtaka: Mafuta ya kula Tanzania yanaweza kuzalishwa na Singida na Dodoma pekee (+ Video)

Mkuu Mpya wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka ameeleza nia yake ya kuhakikisha mikoa ya kanda ya kati inachangia upatikanaji wa mafuta ya kula nchini. Mtaka amesema hayo wakati akikabidhiwa rasmi ofisi na aliyekua Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Binilith Mahenge ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Singida.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents