Michezo

CEO wa Simba Barbara Gonzalez: Hakuna kisichowezekana

Kupitia ukurasa wake wa Twitter CEO wa Simba Barbara Gonzalez ameandika kuwa:

“Ee Mwenyezi Mungu: tunakuomba utufanyie wepesi leo katika mchezo wetu. Uwape wepesi wachezaji wetu wote wapambane tupate ushindi wa magoli matano na kuendelea In shaa Allah. Tunakuomba Mwenyezi Mungu utujalie tufuzu. Hakuna kisichowezekana. Ameen “

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents