BurudaniHabari

RECAP: Jaivah ameongea Uongo sakata la Chino na Marioo

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia tena sakata la Chino na Marioo.

Baada ya Jaivah kufanya mahojiano na Sns @el_mando_tz ametoa maoni yake na kusema kuwa kuna haja ya Marioo na Chino kiwekwa chini wamalize tofauti zao mapema.

Hata kama wasipofanya kazi pamoja ila kuna haja wamalize tofauti zao na mtu pekee mwenye nguvu ya kumaliza ni Abbah.

@el_mando_tz pia amemshauri Chino kuacha kumuongelea vibaya Marioo maana kila mtu ana mapungufu yake na huenda hata Marioo ana mengi ya kuongea kuhusu Chino lakini ametumia Busara kunyamaza.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents