BurudaniHabari

RECAP: Vanessa Mdee hana mrithi kwennye muziki wa Bongo Fleva

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amemzungumzia msanii @vanessamdee

@vanessamdee ambaye alitangaza kuachana na muziki miaka minne iliyopita tayari ameanzisha familia na mpenzi wake @rotimi na wana watoto wawili.

@el_mando_tz anasema tangu @vanessamdee atamgaze kustaafu muziki kwenye upande wa wasanii wa kike hakuna hata mmoja aliyejaribu walau kufuata nyendo zake hata kidogo.

@el_mando_tz anaongeza kuwa @vanessamdee ndio msanii pekee wa kike kutoka Afrika Mashariki aliyeshirikishwa na wasanii wa Nigeria.

Ametaja nyimbo kama JUST LIKE THAT aliyowahi kushirikishwa na @erabydjzinhle wa Nigeria lakini pia MOVE aliyoshirikishwa na @reekadobanks

Mbali na nyimbo hizo @el_mando_tz ametaja baadhi ya matamasha na matukio ya kimuziki ambayo @vanessamdee aliwahi kushiriki na kusema hakuna msanii ambaye kafika na kutumbuiza kwenye majukwaa ambayo @vanessamdee aliwahi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents