Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia kuhusu Trending za YouTube.
Anasema kuwa ni jambo la kushangaza sana kuona wasanii wakubwa ndio wanaowaaminisha Mashabiki kuwa Uki-Trend Youtube basi wimbo wako umefanikiwa.
@el_mando_tz anasema kuwa Wasanii wetu wanatakiwa kutumia takwimu za Platform zingine za kuuza muziki kwani ndio ambazo zinaweza kuwaingizia pesa nyingi na sio YouTube.
@el_mando_tz amezungumza kwa urefu namna mtandao wa Youtube unavyoweza kuwa hasara kwa wasanii wenye uwezo wa kuwekeza kwenye video.