Burudani

Rich Mavoko kuonekana kichaa kwenye video ya wimbo wake mpya ‘Toto Nunda’

Baada ya kuachia video ya ‘Pacha Wangu’, Rich Mavoko ameingia location kushoot video ya wimbo wake mwingine uitwao ‘Toto Tundu’ na muongozaji akiwa ni Adam Juma.

Mavoko 2

Katika picha aliyoipost Instagram Mavoko anaonekana akiwa na muonekano wa kichaa.

Rich Mavoko akiwa katika pozi
Rich Mavoko akiwa katika pozi
Mavoko 5
Mavoko akivuka ukuta

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents