Burudani

Rihanna apost picha za kwenye cover ya jarida la Esquire

Mwanadada Rihanna ameutumia mtandao wa kijamii aupendao zaidi Twitter, kutoa picha za kwanza alizopiga kwa ajili ya jarida la Esquire.

Kama kawaida, Rihanna ametoka bomba kinomanoma!

RiRi hakuweka picha peke yake bali aliziongezea maneno ya uchokozi kutoka kwenye wimbo wake ‘Hard’!

“They can say whateva, ima do whateva,” Ain’t like me, dat bitch too phony”, na kwenye picha anayoonekana na kipenga mdomo ameandika “No pain is foreva”.

Hmm, inaonesha kama Rihanna alikuwa akimlenga mtu baada ya wiki iliyopita kujikuta kwenye beef kadhaa kwenye Twitter.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents