MichezoVideos

Sakho alivyong’ang’aniwa na mashabiki baada ya kutua Dar (+Video)

Miamba ya soka Afrika Mashariki na Kati, Mabingwa watetezi wa Kombe la Ligi Kuu Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho FA, Mabingwa wapya na mara nne (4) wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi @simbasctanzania wametua salama Jijini Dar Es Salaam huku nyuso zao zikitawaliwa na tabasamu la Ubingwa baada ya kuwaadhibu Waoka Mikate wa Azam FC kwa goli 1 – 0 hapo jana usiku Januari 13, 2022 Visiwani Zanzibar. Mbali ya Ubingwa ambao Simba waliutwaa hapo jana na kukabidhiwa kitita cha tsh milioni 25 lakini pia Waliweza kutoa Mfungaji Bora wa michuano hiyo Meddie Kagere, Mchezaji Bora Pape Sakho, Golikipa Bora Aishi Manula.

Related Articles

Back to top button