Burudani

Sam atimuliwa Machozi Band

sam_machozi

Kijana Chipukizi katika game ya muziki, Sam ametimuliwa na uongozi wa bendi aliyokuwa akiifanyia kazi, Machozi band, inayomilikiwa na mwanamuziki nguli, Lady Jay Dee.

Tokeo hilo lilifuatia baada ya Sam kuchelewa kufika katika mazoezi ya bendi pamoja na siku ya kupiga shoo amabazo zilikuika matakwa ya viongozi wa bendi hiyo.

inasemekana hata baada ya kupewa onyo, Sam hakubadilisha mienendo yake na hivyo kupelekea kuachishwa kazi.

Sam amekubali makosa hayo ya uchelewaje na kuiomba uongozi radhi lakini bado haijajulikana kana kwamba atarudishwa katika bendi hiyo au la.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents