Habari

Samsung yazindua simu mpya ‘Galaxy Grand 2’

Kampuni ya Samsung Electronics leo (Nov 25) imezindua simu nyingine mpya ‘Samsung Glaxy Grand 2’ yenye quad-core processor.

samsung-galaxy-grand-2

Simu hiyo itakuwa na kioo cha inchi 5.25 chenye resolution ya 1280×720, itakuwa na quad-core 1.2GHz processor pamoja na camera yenye megapixel 8. Features zingine katika simu hiyo ni Ram ya 1.5GB na 8 GB internal memory.

Galaxy Grand 2 ni miongoni mwa smart phone nyingi za kampuni hiyo zilizozinduliwa mwaka huu. Simu zingine za Samsung zilizotolewa mwaka huu ni pamoja na Galaxy S4, Galaxy Note 3, Galaxy S4 mini, Galaxy S4 Zoom, Galaxy S4 Google Edition, Galaxy S4 Active na Galaxy S4 mini La Fluer.

Samsung Galaxy Grand 2 zitapatikana katika rangi tatu, nyeupe, nyeusi pamoja na pink.

SOURCE: YAHOO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents