Habari

The Kardashians watembelea Afrika Kusini wiki iliyopita kuzindua collection yao ya urembo ‘K Beauty’

Alhamis iliyopita Afrika Kusini ilipata ugeni wa mastaa wa familia ya Kardashian waliotua jijini Johannesburg kuzindua collection yao ya vitu vya urembo ‘K Beauty’, uzinduzi uliofanyika Stuttafords, Sandton jijini Jo’burg.

khloe n kim

Member mmoja wa familia hiyo maarufu kupitia reality show yao ya ‘The Kardashians’ Khloe Kardashian alitweet (Nov 21)

Khloe1

Mtandao wa MTV Base uliandika kuwa Khole aliambatana na dada yake Kim Kardashian katika uzinduzi huo,’The Kardashians are in South Africa! Khloe and Kim Kardashian are currently in Johannesburg, South Africa for the launch of their Kardashian Beauty range at Stuttafords’.

Kim pia alitweet,

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents