Serikali inakamilisha vigezo Chato kuwa Mkoa – Rais Samia (+Video)

”Ndugu zangu wa Chato, serikali inakamilisha vigezo vinavyoruhusu Chato kuwa Mkoa, haujawa bado Mkoa, kuna vigezo kadhaa ambavyo bado tunaendelea kuviangalia na vigezo hivi vikikidhi basi tunakwenda kulimaliza jambo hilo.”- Rais Samia Suluhu Hassan

Kuangalia video bofya HAPA

 

Related Articles

Back to top button